Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:6-7

Wakolosai 2:6-7 BHN

Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye. Muwe na mizizi ndani yake, mjijenge juu yake na kuwa imara katika imani kama mlivyofundishwa. Muwe na shukrani tele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:6-7