Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 11:31-32

Danieli 11:31-32 BHN

Wanajeshi wake watalitia najisi hekalu na ngome zake, watakomesha tambiko za kuteketezwa kila siku na kusimamisha huko hekaluni chukizo haribifu. Atawashawishi kwa hila wale walioasi agano, lakini watu walio waaminifu kwa Mungu wao watasimama imara na kuchukua hatua.

Soma Danieli 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 11:31-32