Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 9:4

Danieli 9:4 BHN

Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, na kuungama, nikisema: “Ee Bwana, wewe ni Mungu mkuu na wa kuogofya. Wewe ni mwaminifu kwa agano lako na unawafadhili wakupendao na kuzitii amri zako.

Soma Danieli 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 9:4