Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 23:21

Kumbukumbu la Sheria 23:21 BHN

Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.