Kumbukumbu la Sheria 23:21
Kumbukumbu la Sheria 23:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ukiweka nadhiri kwa BWANA Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa BWANA Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23Kumbukumbu la Sheria 23:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23