Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 30:19

Kumbukumbu la Sheria 30:19 BHN

Naziita mbingu na dunia zishuhudie juu yenu leo hii, kwamba nimewapeni uchaguzi kati ya uhai na kifo, kati ya baraka na laana. Basi, chagueni uhai nyinyi na wazawa wenu mpate kuishi