Kumbukumbu la Sheria 30:19
Kumbukumbu la Sheria 30:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Naziita mbingu na dunia zishuhudie juu yenu leo hii, kwamba nimewapeni uchaguzi kati ya uhai na kifo, kati ya baraka na laana. Basi, chagueni uhai nyinyi na wazawa wenu mpate kuishi
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30