Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 5:29

Kumbukumbu la Sheria 5:29 BHN

Laiti wangekuwa daima na mawazo kama haya wakaniheshimu na kushika amri zangu! Mambo yao yote yangewaendea vyema daima wao wenyewe na wazawa wao milele.