Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 8:7-9

Kumbukumbu la Sheria 8:7-9 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaleteni kwenye nchi nzuri, nchi yenye vijito na chemchemi, na maji yabubujikayo kutoka bondeni na milimani; nchi yenye ngano na shayiri, mizabibu, mitini, mikomamanga, mizeituni na asali. Huko mtapata chakula tele na hamtapungukiwa kitu. Miamba yake ina chuma, na kwenye milima yake mnaweza kuchimba shaba.