Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 1:22-23

Waefeso 1:22-23 BHN

Mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote. Kanisa ni mwili wa Kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali.