Waefeso 1:22-23
Waefeso 1:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake anayekamilika kwa vyote katika vyote.
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:22-23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa, ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.
Shirikisha
Soma Waefeso 1