Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Esta 1:20-22

Esta 1:20-22 BHN

Amri hiyo itakapotangazwa katika eneo lote la utawala wako, kila mwanamke atamheshimu mume wake, awe tajiri au maskini.” Wazo hilo lilimpendeza sana mfalme na viongozi wake, akatekeleza kama alivyopendekeza Memukani. Basi, akapeleka barua kwa kila mkoa kwa lugha na maandishi yanayoeleweka mkoani: Kwamba kila mwanamume awe bwana wa nyumba yake, na kuitangaza habari hii kwa lugha yake.

Soma Esta 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Esta 1:20-22