Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 35:30-31

Kutoka 35:30-31 BHN

Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda. Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi

Soma Kutoka 35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 35:30-31