Kutoka 35:30-31
Kutoka 35:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda. Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi
Kutoka 35:30-31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; naye amemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina
Kutoka 35:30-31 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kisha Mose akawaambia Waisraeli, “Tazameni, BWANA amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, naye amemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi
Kutoka 35:30-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda; naye amemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina