Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 5:8-9

Kutoka 5:8-9 BHN

Lakini idadi ya matofali yanayotengenezwa kila siku iwe ileile, wala lisipungue hata tofali moja, kwa kuwa watu hawa ni wavivu ndio maana wanapiga kelele: ‘Tuache twende tukamtambikie Mungu wetu.’ Wazidishieni watu hawa kazi ngumu ili waitolee jasho na kuacha kusema maneno ya uongo.”

Soma Kutoka 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 5:8-9