Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 38:2-3

Ezekieli 38:2-3 BHN

“Wewe mtu! Mgeukie Gogu mfalme wa nchi ya Magogu ambaye ni mtawala mkuu wa Mesheki na Tubali. Toa unabii juu yake na kumwambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi nitapambana nawe ewe Gogu mtawala wa Mesheki na Tubali.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 38:2-3