Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 19:17

Mwanzo 19:17 BHN

Walipowatoa nje ya mji, malaika mmoja wao akawaambia, “Kimbieni kwa usalama wenu. Msiangalie nyuma wala kusimama popote bondeni. Kimbilieni milimani, msije mkaangamia.”

Soma Mwanzo 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 19:17