Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 22:9

Mwanzo 22:9 BHN

Walipofika mahali ambapo Mungu alimwagiza, Abrahamu akajenga madhabahu na kupanga kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe na kumlaza juu ya kuni juu ya madhabahu.

Soma Mwanzo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 22:9