Mwanzo 22:9
Mwanzo 22:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipofika mahali ambapo Mungu alimwagiza, Abrahamu akajenga madhabahu na kupanga kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe na kumlaza juu ya kuni juu ya madhabahu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22Mwanzo 22:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakafika mahali pale alipoambiwa na Mungu, Abrahamu akajenga madhabahu huko, akaziweka tayari kuni, kisha akamfunga Isaka mwanawe, akamweka juu ya madhabahu, juu ya zile kuni.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22