Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 27:28-29

Mwanzo 27:28-29 BHN

Mungu akumiminie umande wa mbinguni; akupe ardhi yenye rutuba, nafaka na divai kwa wingi. Jamii za watu zikutumikie, na mataifa yakuinamie kwa heshima. Uwe mtawala wa ndugu zako, watoto wa kiume wa mama yako wakuinamie kwa heshima. Kila akulaaniye na alaaniwe, kila akubarikiye na abarikiwe!”

Soma Mwanzo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 27:28-29