Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 5:12-13

Waebrania 5:12-13 BHN

Kwa wakati huu nyinyi mngalipaswa kuwa waalimu tayari, lakini mnahitaji bado mtu wa kuwafundisheni mafundisho ya mwanzo juu ya neno la Mungu. Mnahitaji maziwa badala ya chakula kigumu. Kila anayepaswa kunywa maziwa ni mtoto bado, hajui uadilifu ni nini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 5:12-13