Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:30-31

Isaya 40:30-31 BHN

Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu. Lakini wote wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu, watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mabawa kama tai; watakimbia bila kuchoka; watatembea bila kulegea.

Soma Isaya 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:30-31