Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:11

Isaya 53:11 BHN

Mungu asema: “Baada ya kutaabika sana, mtumishi wangu atafurahi. Kwa kuwajibika kwake kikamilifu, atatosheka na matokeo hayo. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwadilifu atawafanya wengi wawe waadilifu Yeye atazibeba dhambi zao.

Soma Isaya 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 53:11