Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 22:15-16

Yeremia 22:15-16 BHN

Unadhani umekuwa mfalme kwa kushindana kujenga kwa mierezi? Baba yako alikula na kunywa, akatenda mambo ya haki na mema ndipo mambo yake yakamwendea vema. Aliwapatia haki maskini na wahitaji, na mambo yake yakamwendea vema. Hii ndiyo maana ya kunijua mimi Mwenyezi-Mungu.

Soma Yeremia 22