Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 1:3-4

Yohane 1:3-4 BHN

Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye. Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu.