Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 14:1-3

Yohane 14:1-3 BHN

Yesu aliwaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingekuwa hivyo, ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda kuwatayarishieni nafasi. Na nikienda na kuwatayarishieni nafasi, nitarudi na kuwachukueni kwangu, ili nanyi muwe pale nilipo mimi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 14:1-3