Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 6:51

Yohane 6:51 BHN

Mimi ni mkate hai ulioshuka kutoka mbinguni. Mtu yeyote akila mkate huu ataishi milele. Na mkate nitakaompa ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili ya uhai wa ulimwengu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 6:51