Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 1:3

Yona 1:3 BHN

Basi, Yona akaanza safari, lakini akashika njia ya kwenda Tarshishi ili kumkwepa Mwenyezi-Mungu. Akaenda hadi mjini Yopa ambapo alikuta meli moja iko tayari kwenda Tarshishi. Alilipa nauli, akapanda meli, akasafiri na mabaharia hao kwenda Tarshishi ili kumkwepa Mwenyezi-Mungu.

Soma Yona 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 1:3