Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yuda 1:24-25

Yuda 1:24-25 BHN

Kwake yeye awezaye kuwalinda msije mkaanguka, na kuwaleta nyinyi bila hatia mpaka mbele ya utukufu wake, kwake yeye aliye peke yake Mungu, Mkombozi wetu, uwe utukufu, ukuu, nguvu na mamlaka kwa njia ya Kristo Bwana wetu, tangu zama zote, sasa na hata milele! Amina.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yuda 1:24-25