Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 5:12-13

Luka 5:12-13 BHN

Ikawa, Yesu alipokuwa katika mmojawapo wa miji ya huko, mtu mmoja mwenye ukoma mwili mzima akamwona. Basi, mtu huyo akaanguka kifudifudi akamwomba Yesu: “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.” Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika!” Mara ule ukoma ukamwacha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 5:12-13