Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 4:5-6

Malaki 4:5-6 BHN

“Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia. Nabii Elia atawapatanisha wazazi na watoto wao; la sivyo, nitakuja na kuiangamiza nchi yenu.”

Soma Malaki 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 4:5-6