Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 24:9-11

Mathayo 24:9-11 BHN

“Kisha watawatoeni ili mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa sababu ya jina langu. Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana. Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 24:9-11