Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:31-32

Mathayo 5:31-32 BHN

“Ilikwisha semwa pia: ‘Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka’. Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:31-32