Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 3:24-25

Marko 3:24-25 BHN

Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopingana, utawala huo hauwezi kudumu. Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 3:24-25