Marko 3:24-25
Marko 3:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopingana, utawala huo hauwezi kudumu. Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Shirikisha
Soma Marko 3Marko 3:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama; na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Shirikisha
Soma Marko 3