Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:20-21

Wafilipi 3:20-21 BHN

Lakini sisi ni raia wa mbinguni, na twatazamia kwa hamu kubwa Mwokozi aje kutoka mbinguni, Bwana Yesu Kristo. Yeye ataibadili miili yetu dhaifu na kuifanya ifanane na mwili wake mtukufu, kwa nguvu ile ambayo kwayo anaweza kuviweka vitu vyote chini ya utawala wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 3:20-21