Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 1:7-8

Methali 1:7-8 BHN

Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako

Soma Methali 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 1:7-8