Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 26:13-16

Methali 26:13-16 BHN

Mvivu husema: “Huko nje kuna simba; siwezi kwenda huko.” Kama vile mlango uzungukiapo bawaba zake, ndivyo mvivu juu ya kitanda chake. Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Mvivu hujiona kuwa mwenye hekima kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.

Soma Methali 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 26:13-16