Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 11:4-5

Ufunuo 11:4-5 BHN

Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia. Kama mtu akijaribu kuwadhuru, moto hutoka kinywani mwao na kuwaangamiza maadui zao; na kila mtu atakayejaribu kuwadhuru atakufa namna hiyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 11:4-5