Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 11:4-5

Ufunuo 11:4-5 SRUV

Hao ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele za Bwana wa nchi. Na mtu akitaka kuwadhuru, moto hutoka katika vinywa vyao na kuwala adui zao. Na mtu akitaka kuwadhuru, hivyo ndivyo impasavyo kuuawa.

Soma Ufunuo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 11:4-5