Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:3-4

Ufunuo 12:3-4 BHN

Kisha, ishara nyingine ikatokea mbinguni: Joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji. Joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. Nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:3-4