Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 13:9

Zekaria 13:9 BHN

Theluthi hiyo moja itakayosalia, nitaijaribu na kuitakasa, kama mtu asafishavyo fedha, naam, kama ijaribiwavyo dhahabu. Hapo wao wataniomba mimi, nami nitawajibu. Nitasema, ‘Hawa ni watu wangu’, nao watasema, ‘Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu.’”

Soma Zekaria 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 13:9