1 Wakorintho 10:31
1 Wakorintho 10:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, chochote mfanyacho iwe ni kula au kunywa, fanyeni yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 101 Wakorintho 10:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lolote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 10