1 Wakorintho 13:1
1 Wakorintho 13:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13