1 Wakorintho 13:11
1 Wakorintho 13:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadamu mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilipokuwa mtoto mchanga, nilisema kama mtoto mchanga, nilifahamu kama mtoto mchanga, nilifikiri kama mtoto mchanga; tokea hapo nilipokuwa mtu mzima, nimeyabatilisha mambo ya kitoto.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13