1 Wakorintho 13:13
1 Wakorintho 13:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa yanadumu haya matatu: Imani, tumaini na upendo; lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13