1 Wakorintho 13:4-5
1 Wakorintho 13:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13