1 Wakorintho 13:8
1 Wakorintho 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upendo haupungui neno wakati wowote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13