1 Wakorintho 7:3-4
1 Wakorintho 7:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, naye vivyo hivyo mke kwa mumewe. Mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe, wala mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7