Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 7:3-4

1 Kor 7:3-4 SUV

Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

Soma 1 Kor 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 7:3-4